- 53 viewsDuration: 1:11UJUMUISHAJI Wazazi na walezi katika eneo la Kuria, kaunti ya Migori wametahadharishwa dhidi ya kuwabagua na kuwatenga watoto walio na ulemavu. Katibu katika idara ya utunzi wa watoto na masuala ya wakongwe Joseph Motari amesema kuwabagua watoto walio na ulemavu kunawanyima huduma za serikali na vishawishi vinavyolengwa jamii hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News