Skip to main content
Skip to main content

Akamatwa na polisi kwa kupanda jengo refu zaidi

  • | BBC Swahili
    14,923 views
    Duration: 35s
    Mpanda majengo kutoka Ufaransa, Titouan Leduc, alikamatwa na polisi baada ya kujaribu kupanda jengo refu zaidi katika Umoja wa Ulaya kwa kutumia mikono. Leduc alifanikiwa kupanda hadi urefu wa mita 230 kwa mikono mitupu kabla ya kukamatwa, jambo lililomzuia kumalizia sehemu ya mwisho ya mita 80 hadi kileleni mwa jengo hilo. - - - #bbcswahili #ufaransa #mkwezi #michezoSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw