Skip to main content
Skip to main content

Allan Kamau Kimani afariki korokoroni, Postmortem yaonyesha marehemu alinyongwa

  • | KTN News
    1,045 views
    Duration: 3:11
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Familia moja kaunti ya Migori inalilia haki kufuatia kifo cha Allan Kamau Kimani, aliyefariki akiwa korokoroni. Familia yake, kwa kushirikiana na wanaharakati wa haki za binadamu, wameilaumu Tume ya Huduma za Polisi kwa kutotoa taarifa kamili kuhusu mazingira ya kifo hicho. Matokeo ya upasuaji wa maiti yanaonyesha kwamba Allan alifariki kutokana na kunyongwa. Wakati uchunguzi ukiendelea, familia imesisitiza kuwa waliomhusisha lazima wawajibishwe na haki itendeke. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews