Skip to main content
Skip to main content

Kakamega Homeboyz wafungua rekodi ya ushindi msimu huu

  • | KTN News
    336 views
    Duration: 1:00
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Kakamega Homeboyz wamepata ushindi wao wa kwanza katika Ligi Kuu ya SportPesa msimu wa 2025/26 baada ya kuwalaza Sofapaka bao 1-0 kwenye mechi iliyopigwa Ijumaa katika uwanja wa Dandora, Nairobi. Bao la mapema dakika ya 3 lililofungwa na mchezaji mpya Josphat Lopaga liliwapa maarufu Abana Be Ingo alama tatu muhimu, hatua iliyopunguza shinikizo lililokuwa likiwasakama baada ya mwanzo mgumu wa msimu. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews