- 2,247 viewsDuration: 2:23Tanzania imeondoa vikwazo ilivyokuwa imewawekea wafanyabiashara wa humu nchini kuwazuia kupata leseni za kuendesha biashara ndogo nchini humo. Katibu katika wizara ya Jumuia ya Afrika Mashariki Caroline Karugu amesema mataifa hayo mawili yameafikia mkataba wa pamoja baada ya kutatua tofauti za kibiashara kati yao huku Tanzania ikisema wafanyabiasharra wa Kenya wataweza kuendelea na shughuli zao nchini humo bila matatizo yoyote. Taarifa hii na nyingine ni kwenye Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive