Watu walio na virusi vya ukimwi wameandamana kushinikiza kujumuishwa kwa huduma za ukimwi katika mpango wa bima ya afya ya jamii-SHA. Kundi hilo lilielekea katika afisi za kitengo cha udhibiti wa ukimwi na maradhi ya kuambukiza, kisha afisi za wizara ya afya, likisema wagonjwa hawawezi tena kumudu gharama ya dawa za kuokoa maisha kufuatia kuondolewa kwa ufadhili. Walilalamikia kuongezeka kwa unyanyapaa kwa wagonjwa wa ukimwi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive