Skip to main content
Skip to main content

Mradi wa uwezeshaji vijana almaarufu NYOTA wazinduliwa

  • | KBC Video
    71 views
    Duration: 2:27
    Serikali imezindua mradi wa uwezeshaji vijana utakaogharimu shilingi bilioni-5 ambao unanuiwa kupanua fursa kwa vijana kote nchini sambamba na mradi wa nyumba za gharama nafuu, ajira za kidijitali na nafasi za kazi ughaibuni. Rais William Ruto amesema mpango huo wa fursa za kitaifa kwa vijana, almaarufu NYOTA utatekelezwa kupitia mbinu jumuishi ya serikali katika juhudi za kuhakikisha uwazi na ujumuishi Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive