Skip to main content
Skip to main content

Shoka la KTN: Rais Ruto alionekana huru huku akitembea mtaa wa New York

  • | KTN News
    3,899 views
    Duration: 6:40
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Akiwa nchini Marekani kuhudhuria kikao cha themani cha Umoja wa Mataifa, Rais William Ruto aliamua kuchukua muda kidogo kutembea jijini New York kama raia wa kawaida. Ingawa aliongozana na baadhi ya viongozi waliokuwa naye, alionekana kufurahia uhalisia wa maisha ya mitaa, akibadilisha mazingira ya kidiplomasia kwa muda mfupi. Herman Kamariki, katika makala yake ya leo ya Shoka la KTN, alikumbusha wananchi kuwa “ukiona vyalea, jua vimeundwa,” akirejelea jinsi kila tukio la kiasili linaweza kuwa na mpangilio wake nyuma ya pazia. Tukio hili limevutia umma huku likionyesha upande mwingine wa uongozi na maisha ya kila siku ya rais. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews