Skip to main content
Skip to main content

Serikali kuzindua mpango wa NYOTA

  • | KTN News
    273 views
    Duration: 2:26
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Serikali ya Kenya imetangaza utekelezaji wa mpango wa NYOTA, ukizingatia ushirikiano wa taasisi zote za serikali ili kuhakikisha mafanikio yake kote nchini. Rais William Ruto amesema makatibu wakuu watazuru kaunti zote 47, wakikutana na viongozi wa kaunti na jamii ili kuelimisha wananchi kuhusu mpango huu na kupanga utekelezaji wake kwenye ngazi ya mashinani. Kupitia ushirikiano na Benki ya Dunia, vijana 70 kutoka kila wadi 1,450 watapokea ruzuku ya Sh50,000 kwa ajili ya kuanzisha biashara. Mpango huu unalenga vijana elfu 100,000 kote nchini, ukiwategemea Sh5 bilioni, na lengo lake ni kuwawezesha vijana, kukuza ubunifu na kuimarisha uchumi wa taifa kupitia ujasiriamali na uvumbuzi. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews