- 1,706 viewsDuration: 1:44Alisema anakupenda… siku iliyofuata akaomba pesa. Ukaamini, ukatuma, kisha akatoweka. Lakini hujui, si wewe pekee uliyedanganywa. Mwanaume huyu Simon Leviev aliwatega wanawake duniani kote kwa sura ya kuvutia, maisha ya kifahari, na uongo uliopangwa kwa ustadi. Swali ni, unaweza kumtambua tapeli wa mapenzi ? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw