Skip to main content
Skip to main content

Kuna uwezekano wa kuwa na usalama bila jeshi?

  • | BBC Swahili
    11,847 views
    Duration: 1:22
    Ingawa jeshi linatazamwa kama ishara ya uhuru wa kitaifa na chombo cha msingi cha kutetea mipaka na uhuru wa nchi, kuna idadi ndogo ya nchi ambazo zimeamua kuachana na jeshi kwa sababu mbalimbali - Je, ni nchi gani hizi? Na Kwanini? - Frank Mavura anaelezea - - - #bbcswahili #ulinzi #jeshi #usalamSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw