Wasiwasi wa waathiriwa wa mafuriko

  • | Citizen TV
    890 views

    Huku shule zikifunguliwa leo kwa muhula wa Pili, waathiriwa wa mafuriko katika mji wa Kitengela kaunti ya Kajiado wameeleza wasiwasi kuhusu hatma ya wanao ambao bado hawawezi kurejea shuleni baada ya mafurio kusomba kila kitu chao ikiwa ni pamoja na sare za shule, vitabu, na kila kiti ilichokuwa nyumbani. Familai hizo zinasema kuwa bado hali ni ngumu kwao na hawawezi kumudu kununua sare na vitabu kwa watoto wao. Robert Masai anaarifu zaidi.