Kaunti-12 zitanufaika na kambi za matibabu

  • | KBC Video
    5 views

    Wakfu wa M-PESA umetenga shilingi milioni 77 kugharamia huduma za matibabu bila malipo karika maeneo mbalimbali humu nchini. Mradi huo ni sehemu ya msururu wa kambi za matibabu zilizoandaliwa na wakfu huo kote nchini kwa ushirikiano na hospitali ya Zuri na ile ya macho ya Lions. Awamu ya kwanza ya kambi za matibabu ilitekelezwa katika kaunti za Lamu, Nairobi, Kakamega, Mombasa, Meru, Garissa, Kirinyaga, na Machakos ambapo zaidi ya watu 30,000 walifaidika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News