Waathiriwa wasikitikia kukithiri kwa visa vya ukeketaji

  • | KBC Video
    3 views

    Waathiriwa wa ukeketaji wameelezea wasiwasi kuhusu visa vya ukeketaji wasichana ambavyo vimekithiri katika mitaa ya mabanda na hospitalini wakisema desturi hiyo imeathiri afya ya mtoto wa kike. Wakiongea katika kikao kilichoandaliwa na shirika la Brighter Society Initiative lililoanzishwa na Saadia Husein ambaye ni mwathiriwa wa ukeketaji, waathiriwa hao walitoa wito kwa jamii n

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News