Ifahamu China: Dawa za Kiasili

  • | KBC Video
    6 views

    Katika makala yetu kuhusu Ifahamu China tunaangazia bei ya dawa za kiasili nchini China ambazo zimeongezeka kutokana na mahitaji yake ughaibuni. Vile Vile upungufu wa dawa hizo mwaka uliopita umechangia bei ya dawa hizi kuongezeka.Tazama

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News