- 718 viewsDuration: 2:01Wakizungumza katika maeneo ya Navakholo na Lurambi katika kaunti ya Kakamega, wakaazi hao wamemkashifu Natembeya kwa matamshi yake na cheche za matusi kwa Mudavadi huku wakimtakaa kuungana naye ili kusukuma kukamilishwa kwa miradi iliyokwama katika eneo pana la Magharibi. Natembeya alizua mjadala baada ya baadhi ya wazee katika kaunti ya Vihiga kumwapisha kama msemaji wa jamii hiyo kabla ya kupata baraka za wazee wa ufalme Wanga mjini Mumias hapo jana. #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews