- 235 viewsDuration: 1:50Ujenzi wa mabwawa ya mchanga ambayo yatanufaisha mamia ya wakazi unalenga kupunguza hatari ambazo wakazi hukumbana nazo wakati wa kuchota maji kutoka kwa maji ya mto athi ulio na mamba na viboko. Wakaazi wa eneo hilo wametoa shukrani zao kwa NCCK kwa mpango huo mkubwa wakisema kuwa mabwawa hayo ya mchanga yatawasaidia pakubwa kwani awali walikabiliwa na hatari nyingi za kuchota maji kutoka kwa mto wa Athi. #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews