Skip to main content
Skip to main content

Kiongozi wa chama cha Patriots awataka vijana kujiandikisha kama wapiga kura Kariobangi Kaskazini

  • | KTN News
    295 views
    Duration: 3:16
    Kiongozi wa chama cha Patriots Agnes Kagure awataka vijana kujiandikisha kuwa wapiga kura katika zoezi linaloendelea la usajili wa wapiga kura akizungumza wakati wa kumtambulisha mgombea wa chama hicho kwenye chaguzi ndogo za wadi ya kariobangi kaskazini, Geoffrey Owino maafisa wa chama hicho walisema njia pekee ya kubadili uongozi wa nchi ni kwa kupigia kura viongozi walio waadilifu. #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews