Skip to main content
Skip to main content

Shule nchini yapitia hali gumu kufuatia uhaba wa fedha ukiathiri maandalizi ya mitihani ya kitaifa

  • | KTN News
    523 views
    Duration: 2:50
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Siku chache tu kabla ya kuanza kwa mitihani ya kitaifa, hatma ya maandalizi ya mitihani hiyo haieleweki kufuatia kucheleweshwa kwa mgao wa shule. Washikadau katika sekta ya elimu wameonya kwamba, iwapo serikali haitachukua hatua za haraka, uhaba wa fedha utavuruga shughuli ya maandalizi na usimamizi wa mitihani ya kitaifa nchini, mwaka ambao una idadi kubwa zaidi ya watahiniwa wa kidato cha nne, gredi ya tisa na gredi ya sita. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews