152,560 views
Duration: 2:43
BBC imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum.
AnnaMary Polepole amesisitiza katika mahojiano haya kuwa arudishiwe mtoto wake- Humphrey Polepole akiwa hai au amekufa.
Hata hivyo mapema leo, jeshi la polisi lilisema kuwa limeanzisha rasmi uchunguzi wa tuhuma za kutekwa kwa Humphrey Polepole.
Hata hivyo katika taarifa hiyo wameongeza kuwa wanamtafuta ndugu wa Humphrey Polepole, aitwaye Augustino Polepole kuthibitisha tuhuma hizo.
#bbcswahili #tanzania #hpolepole
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw