#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Pwani mjini Kilifi wametoa makataa ya saa 48 kwa serikali ya kitaifa kuwalipa wahadhiri wa vyuo vikuu nchini la sivyo waandamane. Wakizungumza na wanahabari mjini Kilifi, wanafunzi hao wametaka wanafunzi wengine katika vyuo mbalimbali humu nchini kuwaunga mkono na kuandaa maandamano ili kuishinikiza serikali kuwalipa wahadhiri wa vyuo vikuu nchini. Aidha, wanafunzi hao wameongeza kuwa mgomo huo ambao umeingia wiki ya tatu kufikia sasa umewaathiri mno ikizingatiwa kuwa wazazi wao wamelipa karo lakini wanaendelea kukosa masomo huku wakielezea wasiwasi wa kalenda ya masomo kuathirika pakubwa iwapo mzozo ulipo baina ya serikali na wahadhiri hautapata suluhisho la kudumu.
Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews