Rais araiwa kuwarejesha kazi baadhi ya mawaziri

  • | KBC Video
    111 views

    Baadhi ya wakazi katika kaunti ya Meru wamemtaka rais William Ruto kuwarejesha baadhi ya mawaziri katika baraza la awali la mawaziri hasa aliyekuwa waziri wa usalama wa taifa Kithure Kindiki. Wakazi hao wanadai kuwa Kindiki alijitahidi pakubwa kuimarisha usalama nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive