Wagombeaji wa kiti cha urais Rwanda wamefanya kampeni zao za mwisho

  • | NTV Video
    475 views

    Kampeni za uchaguzi nchini Rwanda zimefikia kikomo hii leo taifa hilo linapojiandaa kwa uchaguzi siku ya Jumatatu.

    Wagombeaji wote watatu wa kiti cha urais wamefanya kampeni zao za mwisho katika wilaya tofauti jijini Kigali.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya