Viongozi walaani mauaji ya kikatili

  • | K24 Video
    67 views

    Kwengineko, viongozi wa kisiasa na wa kidini wamewanyoshea kidole cha lawama polisi kwa kushindwa kutekeleza wajibu wao wa kuwalinda wakenya kufuatia kupatikana kwa miili kadhaa katika jaa huko kware katika mtaa wa mabanda ya Mukuru, lililoko mita chache kutoka kituo cha polisi. Viongozi hao wamesisitiza haja ya uwajibikaji kutoka kwa idara ya usalama na hatua kali kuchukuliwa mara moja kwa watakaopatikana kuhusika na mauaji hayo.