Wazee wasingiziwa uchawi na kuuawa kwasababu ya ardhi

  • | BBC Swahili
    1,223 views
    Takriban mzee mmoja huuawa kila wiki kwa jina la uchawi katika pwani ya Kilifi nchini Kenya. - Africa Eye ilichunguza lengo la mauaji haya ya kikatili, na kufichua kwamba wengi wanalengwa na watu hasa ambao wanapaswa kuwalinda Hii ni makala kamili kwa urefu #bbcswahili #kenya #kilifi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw