Wakfu wa FORD wakanusha madai kuwa unafadhili maandamano dhidi ya serikali

  • | K24 Video
    87 views

    Wakfu wa FORD umekanusha madai kuwa unafadhili maandamano dhidi ya serikali. Kupitia mitandao yake ya kijamii, FORD imesisitiza umuhimu wa kushiriki maandamano kwa njia ya amani. Haya yanajiri huku mashirika ya kijamii nchini vilevile yakikanusha madai ya wao kufadhili maandamano ya wanarika wa Gen Z.