Raila apinga wito wa mazungumzo ya kitaifa

  • | K24 Video
    314 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga sasa amepinga wito wa mazungumzo ya kitaifa akisema kuwa ni lazima maswala kadhaa yaangaziwe kwanza. Katika ujumbe kwa vyombo vya habarti Odinga alishikilia kuwa haki lazima itendeke kwa wale waliouwawa na kujeruhiwa wakati wa maandamano ya Gen Z