Rais Ruto aahidi kukomesha maandamano ya vurugu

  • | K24 Video
    98 views

    Rais William Ruto sasa anawataka wanaodaiwa kufadhili maandamano kujitokeza kueleza maoni yao mbadala badala ya kufadhili machafuko. Rais Wiliam Ruto aliyefika katika ibada kanisani bomet ameapa kuzima maandamano yoyote yatakayopangwa kuanzia leo kwa nia ya kulinda demokrasia ya nchi huku akiwakashifu vijana wa Gen-Z kwa kukataa wito wake wa mazungumzo. Rais Ruto hakuvisaza vyombo vya habari kuhusu upeperushaji wa matukio ya maandamano hayo