Mashirika yahimiza kuhusishwa kwa wakimbizi Dadaab

  • | Citizen TV
    331 views

    Katika Juhudi Za Kuboresha Maisha Na Hali Ya Wakimbizi Katika Kambi Ya Wakimbizi Ya Daadab Hapa Nchini,Mashirika Mbalimbali Yamejitokeza Kupigia Debe Kuhusishwa Kwa Wakimbizi Hao Kwenye Jamii Za Kaunti Ya Garissa Ili Wapate Huduma Kama Wakenya Wengine.