Polisi wachunguza kiini cha vifo vya watu wanne waliobugia pombe haramu Mwingi

  • | Citizen TV
    381 views

    Polisi wanaendeleza uchunguzi wa kutambua kilichowaua watu wanne katika eneo la Kyuso kaunti ya Kitui, baada ya kubugia pombe. Joy Biwott anatuarifu zaidi kuhusu uchunguzi huo