Rais William Ruto atetea hatua ya kubuni serikali jumuishi

  • | KBC Video
    269 views

    Rais William Ruto ametetea kubuniwa kwa serikali jumuishi kupitia baraza teule la mawaziri kama hatua ya kudhibiti migawanyiko humu nchini. Rais Ruto aliyekuwa kwenye ziara ya maendeleo katika kaunti ya Tharaka Nithi alisema pindi wale walioteuliwa watakapoidhinishwa, mawaziri hao watafanikisha mabadiliko ya kiuchumi kupitia ajenda ya kukuza uchumi kuanzia mashinani yaani Bottom Up.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive