Rais Ruto atetea hatua ya kujumuisha ODM serikalini

  • | Citizen TV
    2,048 views

    Rais William Ruto ameanza ziara yake ya siku nne pwani kwa kutoa hundi kwa vikundi vya maendeleo jijini Mombasa. Rais ameitetea hatua ya kuwajumuisha wanasiasa kutoka upinzani katika baraza lake la mawaziri akisema ni njia ya kuunganisha taifa. Rais ruto ameelezea matumaini kuwa hassan joho ataboresha maendeleo katika wizara ya madini na uchumi wa Bahari. Naye gavana wa mombasa ametaka familia za wale waliopoteza maisha zilipwe fidia.