Wizara ya afya yawataka wananchi kuwa watulivu

  • | TV 47
    19 views

    Wizara ya afya kupitia katibu mkuu wa afya Mary Muthoni imewataka wakenya kuwa watulivu kufuatia tangazo la hivi majuzi kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Mpox hapo jana katika eneo la taita taveta. Wizara imesema kuwa inafanya kazi ili kuhakikisha kuenea kwa ugonjwa huo kunadhibitiwa.

    #UpeoWaTV47_

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __