Irene Mbowe 'Kungwi Lao': 'Mwanamke komaa na ndoa yako'

  • | BBC Swahili
    761 views
    ‘Baba Nema samahani mume wangu umeme umeisha.... Baba Nema nimekutumia laki tatu ufurahi na marafiki' Je mafundisho hayo amekuwa akiyaishi yeye binafsi? Je maisha yalikuaje kwa upande wake baada ya kufiwa na mume wake aliyempenda? Tazama. #bbcswahili #WaridiwaBBC #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw