Waziri mteule Justin Muturi atetea uhusiano wake na rais Ruto

  • | Citizen TV
    765 views

    Aliyekuwa Mkuu wa sheria Justin Muturi amehojiwa na kamati ya uteuzi katika bunge la kitaifa kuhusu uteuzi wake kama waziri wa huduma za utumishi wa umma. Muturi akisema atahakikisha kuwa wananchi wote ambao wanatafuta ajira katika sekta ya umma na wanatumia stakabadhi ghushi watachukuliwa hatua na kuzuiwa kuingia katika sekta ya umma siku za usoni. Aidha, ametetea uhusiano wake na rais William Ruto akisema walishirikiana vyema kufuatia madai ya rais kutofuata ushauri wake