Mkutano wa DNC Chicago unaingia siku ya pili, Obama ahutubia

  • | VOA Swahili
    2,209 views
    Mkutano mkuu wa Demokratik unaingia siku ya pili, Obama kuwashawishi wapiga kura kumuunga mkono Kamala Harris. Waziri wa Mambo ya Nje Antony Blinken amesema Israel ipo tayari kusitisha vita. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari