13 Oct 2025 1:16 pm | Citizen TV 297 views Duration: 1:38 Mamia ya walimu pamoja na wahudumu wa boda boda mjini Garissa wameandamana kukashifu mauaji ya mwalimu mmoja katika kituo cha biashara cha Bula Mzuri viungani mwa mji huo.