13 Oct 2025 1:23 pm | Citizen TV 240 views Duration: 1:03 Rais wa Marekani Donald Trump amewasili Israeli kuongoza makubaliano ya amani Gaza kufuatia makubaliano ya kusitishwa kwa mashambulizi yaliyokuwa yakifanywa na Israeli.