Wadau wataka ubunifu katika masomo ya sayansi, uhandisi, teknolojia na hisabati uimarishwe

  • | KBC Video
    53 views

    Ukosefu wa uwezo wa kutosha kwa walimu na uhaba wa rasilmali yametajwa kuwa baadhi ya maswala yanayotatiza juhudi za kuwapa wanafunzi ujuzi katika masomo ya sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati humu nchini. Akizungumza wakati wa kufungwa kwa makala ya tano ya kongamano kuhusu masomo ya hisabati, sayansi na teknolojia lililowajumuisha wanafunzi 103, mkufunzi wa kitaifa wa teknolojia ya habari na mawasiliano Martin Mungai alisema kuwa nchi hii inaweza kunufaika pakubwa kupitia teknolojia iwapo wanafunzi watapata mafunzo hayo tangu wakiwa wadogo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive