Polisi waliwashambulia wanahabari kwenye maandamano ya ‘Nane Nane’

  • | Citizen TV
    3,900 views

    Maafisa wa polisi wameendelea kushutumiwa kwa kuwashambulia wanahabari wakati wa maandamano ya nane nane siku ya Alhamisi. Baadhi ya wanahabari waliokuwa wakitekeleza majukumu yao walipigwa na kujeruhiwa huku wakifyatuliwa vitoa machozi.