13 Oct 2025 1:29 pm | Citizen TV 177 views Duration: 1:27 Gavana wa Kwale Fatuma Achani ameongoza ugavi wa basari za shilingi milioni 60 kwa wanafunzi 10,000 kutoka kwa familila sizisojiweza wa shule za upili kutoka kaunti hiyo.