Chama cha walimu KNUT chatishia kuandaa mgomo

  • | KBC Video
    69 views

    Chama cha kitaifa cha walimu-KNUT kimesema wanachama wake watagoma kuanzia muhula ujao iwapo tume ya kuajiri walimu-TSC haitaheshimu utekelezaji wa awamu ya pili ya mkataba wa makubalino ya pamoja-CBA.Katibu mkuu wa chama hicho Collins Oyuu amesema kuna masuala ambayo bado hayajashughulikiwa na kwamba iwapo hayatatatuliwa basi walimu watalazimika kulemaza shughuli za masomo shule zitakapofunguliwa tena tarehe 26 mwezi huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive