Uchunguzi wa upepo kutoka bahari hindi hadi Turkana

  • | K24 Video
    101 views

    Wanasayansi wa Kenya wanaendeleza utafiti wa upepo unaochukua unyevu kutoka bahari hindi kupitia kenya hadi ethiopia na sehemu za kaskazini mwa afrika. Kulingana na idara ya hali ya hewa ya kenya upepo huo, unaoitwa turkana low level jet, unaathiri mafuriko na ukame, kaskazini mwa Kenya.