Rais Ruto arejelea safari

  • | Citizen TV
    12,818 views

    Baada ya miezi miwili iliyokumbwa na msukosuko wa serikali yake, Rais William Ruto leo ameondoka nchini kwa mara ya kwanza kwa safari ya nje ya Kenya. Leo hii, rais alisafiri kuelekea nchini rwanda ambako amehudhuria hafla ya kuapishwa kwa rais Paul Kagame kwa muhula wa nne wa urais. Rais ruto amekabiliwa na wimbi la maandamano ya vijana na hata kugeuza baraza lake la mawaziri hajaondoka nchini tangu tarehe 15 juni.