Mwanamke auawa nyumbani kwake Nyagidha, Homa Bay

  • | Citizen TV
    745 views

    Polisi katika kituo cha Homabay wanachunguza kisa ambacho mama mjane aliuwawa kinyama nyumbani kwake katika kijiji cha Nyagidha viungani mwa mji wa Homa-Bay