Wanaharakati wa Kapenguria na wenyezi waandaa maandamano ya amani kutokana na unyakuzi wa ardhi

  • | TV 47
    25 views

    Hali ya taharuki ilitanda mjini Kapenguria baada ya wanaharakati pamoja na wenyeji wa maeneo ya Kanyerus, Nakwijit, Orwa, Endough na Kitikomor kuandaa maandamano ya amani kutokana na unyakuzi wa ardhi maeneo hayo.

    Wakiongozwa na mwanaharakati,Kimutai Kirui, wenyeji hao waliwasilisha kesi hizo katika afisi ya kamishina wa kaunti hiyo, bunge la Kaunti hiyo na kwenye afisi ya seneta wa kaunti hiyo.

    Kulingana nao visa vya unyakuzi wa ardhi vimekidiri kaunti hiyo kwani baadhi ya mashamba yana zaidi ya hatimiliki moja.

    Wenyeji hao wanamtaka waziri wa ardhi nchini kuingilia kati na kutatua swala hilo.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __