Skip to main content
Skip to main content

Rais wa Madagascar amekimbia nchi? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    23,310 views
    Duration: 28:10
    Hali ya wasiwasi inaendelea kutanda Madagascar usiku huu, huku ripoti zikisema kwamba huenda Rais Andry Rajoelina aliondoka nchini humo kwa kutumia helikopta ya kijeshi ya Ufaransa, kufuatia maandamano ya vijana wa Gen Z. Awali, vyombo vya habari vya Ufaransa viliripoti kuwa uhamisho huo wa Rais Rajoelina ulikubaliwa na Rais Emmanuel Macron, ingawa mamlaka za Ufaransa zimesema kuwa haziingilii mgogoro wa ndani wa Madagascar. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw