Skip to main content
Skip to main content

Askari wa GSU auawa kwa mshale nje ya Ikulu, mwingine auawe JKIA katika matukio tofauti

  • | Citizen TV
    32,747 views
    Duration: 2:03
    Askari wa GSU aliyekuwa akilinda ikulu ya Nairobi ameuawa baada ya kuchomwa mshale na mtu aliyekuwa akijaribu kuingia eneo hilo. Kisa hiki kilitokea wakati mshukiwa alipojaribu kuingia ikulu kwa lazima. Haya yamejiri huku afisa mwingine wa GSU pia akivamiwa katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta na kuuawa