Serikali inaandaa mswada mwingine kutafuta Ksh.150b

  • | Citizen TV
    3,289 views

    Kwa mara nyingine tena, taarifa za ulaghai zimegubika jiji jipya la Eldoret ambapo sakata mpya ya uwekezaji wa sarafu imeibuka. Waathiriwa wa punde wakidai kulaghaiwa maelfu ya pesa na kampuni inayoongozwa na askofu wa kidini. Na kama John Wanyama anvyoarifu, wakaazi wanadai kutia saini mikataba na kampuni ya De La Vie Consult kupata faida za biashara ya sarafu kwa mwaka mmoja, ila sasa wamewachwa wakihangaika