Wafanyibiashara Eastleigh waomboleza jamaa wa familia moja waliouawa kinyama

  • | K24 Video
    29 views

    Wakazi na wafanyibiashara huko Eastleigh kaunti ya Nairobi sasa wameishurutisha serikali kuharakisha uchunguzi wa ni nani aliyewaua jamaa watatu wa familia moja na kisha kuitupa miili yao sehemu tofauti. Haya yameibuliwa baada ya wafanyibiashara katika eneo hilo kufunga biashara zao wakiomboleza jamaa hao wa familia moja waliouawa kinyama